Mwanzo Usajili Mtandaoni Pakua Fomu Yako Uthibitisho wa Admin
Olele Kwanza Logo
Kituo cha Kupakua Fomu

Pakua Fomu Yako ya Mwanakikundi

Ingiza Majina yako matatu au Namba ya Simu, pamoja na Tarehe yako ya Kuzaliwa kama nenosiri la usalama ili kuangalia hali na kupakua fomu yako ya PDF.

Mifano ya haraka:
Logo

FOMU YA MWANAKIKUNDI

OLELE KWANZA GROUP — PAMOJA TUNASHINDA

1 TAARIFA ZA MWANAKIKUNDI

(Maelezo: Jaza majina matatu kwa herufi kubwa, hakikisha umejaza taarifa zote kwa usahihi)

Na. Aina ya taarifa Jina la Kwanza Jina la Pili Jina la tatu
i. Jina la Mwanakikundi
ii. Jinsia (Weka Vema): Mwanaume: [ ]      Mwanamke: [ ]
iii. Umri:
Weka picha yako hapa
(Passport size)

1.1 SEHEMU ANAPOISHI MWANAKIKUNDI

i. Mkoa unaoishi :
ii. Wilaya unayoishi :
iii. Kata unayoishi :
iv. Namba ya Simu :

1.2 SEHEMU ANAPOTOKEA MWANAKIKUNDI WILAYANI ROMBO

i. Kata unayotokea :
ii. Kijiji unachotokea :

2 TAARIFA ZA WATEGEMEZI

Jina (Majina matatu) Mahusiano Umri Namba ya simu Picha

1 TAARIFA ZA MTU WA KARIBU NA WADHAMINI

1. MTU WA KARIBU ATAKAYECHUKUA RAMBIRAMBI ENDAPO MWANAKIKUNDI ATAFARIKI
Na. Jina Namba ya Simu Mahusiano
i.
ii.
iii.
iv.
2. WADHAMINI
Na. Jina Namba ya Simu Mahusiano
i.
ii.

2 UTHIBITISHO WA MWANAKIKUNDI

Mimi mtajwa hapo juu, nathibitisha kwamba taarifa zote nilizojaza hapo juu ni za ukweli.

Saini ya Mwanakikundi :
...................................................
Tarehe :
Saini ya K.N.Y Mwenyekiti :
Saini ya Mwenyekiti
Tarehe :